25 Jan 2026 7:53 pm | Citizen TV 8,065 views Duration: 56s Watu wawili wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya Kajiado baada ya kudaiwa kupigwa risasi na afisa mmoja wa idara ya upelelezi wa jinai (DCI) katika eneo moja la burudani mtaani Kitengela