Skip to main content
Skip to main content

Punda ng’ombe: Biashara haramu ya nyama na ngozi yaendelea kijiij Matungulu, Machakos

  • | Citizen TV
    10,131 views
    Duration: 7:40
    Runinga ya citizen imerejea tena katika eneo la Kithyoko katika kaunti ya Machakos mwaka mmoja baada ya kuangazia biashara haramu ya nyama na ngozi ya punda eneo hilo na kufanya upelelezi wa kipekee, uliobaini kuwa biashara hiiyo haramu bado inaendelea. Katika sehemu ya pili ya makala yetu maalum, evans asiba anatanzua kitendawili cha nani anayenufaika kutokana na biashara hiiyo.