Skip to main content
Skip to main content

Utamaduni wa kuomba 'kitu kidogo' kisiasa unapaswa kuondolewa kwa fikra - Mkazi, Machakos

  • | TV 47
    59 views
    Duration: 4:02
    "Kenya imekita mizizi kwa mtazamo na utamaduni kwamba mwananchi akiona mwanasiasa, anaomba 'kitu kidogo.' Utamaduni huu unapaswa kuondolewa kabisa katika fikra za wananchi. Wananchi wanapaswa kuelimishwa kuhusu haki zao, na viongozi pia wanapaswa kuelewa kwamba tumechagua ili wahudumie wananchi." - Mkazi, Machakos #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __