- 222 viewsDuration: 2:57Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku amewaagiza maafisa wakuu wa idara za wafanyakazi kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi wote wa umma ambao hufika kazini wakiwa wamechelewa. Akiongea alipozuru makao makuu ya eneo la Kisumu, Ruku alisema mkakati mahsusi unawekwa kukomesha kile alichotaja kuwa tabia isiyoweza kustahimilika katika utumishi wa umma. Wycliffe Oketch anatuarifu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive