- 181 viewsDuration: 1:40MATUMIZI YA FEDHA MAGATUZINI Serikali ya kaunti ya Trans Nzoia imeangaziwa kwa kuzuilia zaidi ya shilingi Milioni 52 zilizodaiwa kama malipo ya wafanyikazi wa serikali ya kaunti hiyo waliohudumu katika utawala wa awali. Alipofika mbele ya kamati ya bunge la seneti kuhusu uhasibu wa umma, gavana wa Trans Nzoia George Natembeya alikosoa utawala wa awali kwa kutowasilisha makato ya kisheria ya wafanyikazi. #Darubini Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive