Vijana 8,820 kutoka kaunti za Kisii, Nyamira na Migori wamenufaika kwa mitaji ya kuendeleza biashara zao kupitia mpango wa uwezeshaji, NYOTA, unaonuiwa kubuni na kupanua ajira miongoni mwa vijana. Kila mjasiriamali alipokea shilingi elfu 22, ambapo jumla ya shilingi milioni 220.5 zilitumika. Vijana hao walikamilisha mafunzo ya lazima ya siku nne kuhusu ujuzi wa kibiashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive