Skip to main content
Skip to main content

Chuo cha Utalii chapokezwa mashine ya kuimarisha somo la kutayarisha kahawa

  • | KBC Video
    64 views
    Duration: 1:55
    Watu wanaosomea taaluma ya utayarishaji kahawa katika chuo cha utalii nchini wamenufaika na mchango wa mashine za kisasa za kutayarisha kahawa kutoka wakfu wa Ushiriki Wema, hatua inayotarajiwa kuboresha mafunzo ya vitendo na kuimarisha nafasi zao za upataji ajira. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive