- 284 viewsDuration: 1:38Mwanamume mmoja amekanusha madai ya kuchapisha taarifa ambazo kusambaa kwake kwenye mitandao ya kijamii kulizua taharuki na kuliletea taifa aibu. David Oaga Mokaya aliiambia mahakama kuwa serikali imeshindwa kuthibitisha mmiliki wa akaunti iliyotumiwa kuchapisha taarifa hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive