Skip to main content
Skip to main content

Uuzaji wa Hisa Safaricom I Ofa nyingine mbali na ya Vodacom kuzingatiwa

  • | KBC Video
    190 views
    Duration: 3:19
    Ofa nyingine mbali na pendekezo la Vodacom la kununua asilimia 15 ya hisa katika kampuni ya Safaricom kutoka kwa serikali, itazingatiwa. Katibu katika wizara ya fedha dakta Chris Kiptoo amesema ingawa kampuni ya Vodacom iliahidi kununua hisa hizo za Safaricom kwa shilingi 34 kwa hisa moja, pendekezo jingine bora kutoka kwa mwekezaji mwingine yeyote yule, litaangaziwa. Maelezo kamili ni kwenye mseto ufuatao wa habari za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive