Skip to main content
Skip to main content

Miili ya watoto-9 wa kurandaranda yazikwa kwenye makaburi ya Langata

  • | KBC Video
    480 views
    Duration: 3:19
    Watoto 9 wa mitaani ni miongoni mwa miili iliyozikwa leo katika kaburi la pamoja katika Makaburi ya Langata jijini Nairobi, kufuatia vifo vilivyoripotiwa mwezi uliopita.Maafisa wa utawala wanasema uchunguzi kuhusu vifo hivyo unaendelea, huku wasiwasi ukiongezeka kuhusu usalama wa familia zinazorandaranda mitaani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive