Skip to main content
Skip to main content

Makueni yapiga hatua kupunguza vifo vya mama na watoto wachanga kwa wodi mpya ya uzazi

  • | Citizen TV
    287 views
    Duration: 1:35
    Kaunti ya Makueni imepiga hatua katika kukabili vifo vya akina mama wanapojifungua pamoja na watoto wachanga. Hii ni kufuatia ushirikiano na wakfu wa mpesa kuikabidhi kaunti hiyo jengo jipya la wodi ya uzazi.