Skip to main content
Skip to main content

Utafiti kuhusu chimbuko na mazingira ya ndovu wageuka kivutio

  • | KBC Video
    65 views
    Duration: 3:24
    Makavazi ya kitaifa imekumbatia matumizi ya sayansi na teknolojia kung'amua tamaduni na mabadiliko ya kimaumbile ya wanyama katika mifumo ya ikolojia humu nchini. Utafiti wa Dkt. Pauline Mbatha, ambaye ni mtaalamu wa visukuku katika Makavazi ya kitaifa umegeuza Kenya kuwa kitovu cha utafiti wa ndovu na wazao wake huku watafiti mbalimbali kutoka duniani kote wakifika humu nchini kujifunza mabadiliko ya kimaumbile ya wanyama hao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive