- 10,507 viewsDuration: 3:17Abiria leo asubuhi walilazimika kutembea kwa miguu baada ya baadhi ya wahudumu wa magari ya uchukuzi wa umma kusitisha huduma zao na kufunga barabara. Wahudumu hao waligoma kutokana na madai ya vurugu, na kuchomwa kwa magari yao na wahudumu bodaboda. Wamiliki wa matatu wameamua kugoma kila Jumatatu hadi serikali itakaposhughulikia kilio chao na kuzuia kile wanachodai kuwa unyanyasaji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive