- 3,021 viewsDuration: 3:13Rais William Ruto ametoa wito kwa Wa-Kenya kuwapuuzilia mbali viongozi wanaoendeleza siasa anazosema zinarejesha nyuma taifa hili, huku akiwadiriki wale wanaokosoa serikali yake, kuwasilisha maono ya kupeleka mbele nchi hii. Rais Ruto, ambaye alikuwa huko Kisumu kwa mpango wa uwezeshaji vijana kibiashara almaarufu – NYOTA , alisisitiza kwamba ajenda ya mabadiliko ya kiuchumi ya Bottom-Up, inalengwa kutatua changamoto za ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana huku akiwahimiza vijana kutafuta fursa za kujiendeleza kiuchumi kupitia mipango mbalimbali ya serikali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive