Skip to main content
Skip to main content

Serikali yapeleka huduma za usajili wa vitambulisho vya kitaifa mashinani

  • | KBC Video
    107 views
    Duration: 1:56
    Serikali inasambaza huduma za usajili wa vitambulisho vya kitaifa mashinani hususan kwa kaunti zilizoko mipakani. Hii ni baada ya kuanzishwa kwa shughuli ya siku kumi ya usajili wa vitambulisho vya kitaifa kupitia simu za rununu katika Kaunti ya Pokot Magharibi, inayolenga wakazi ambao hawana hati hio muhimu. Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen, amesema shughuli hiyo inalenga zaidi ya watu laki moja. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive