Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Bungoma yamulikwa kwa kukosa kulipa bili za shilingi bilioni 4.6

  • | KBC Video
    116 views
    Duration: 4:12
    Serikali ya kaunti ya Bungoma inamulikwa kwa kushindwa kuwasilisha makato ya kisheria na kulipa posho na pensheni kwa wafanyakazi.Gavana wa kaunti ya Bungoma Kenneth Lusaka alikabiliwa na wakati mgumu kuwashawishi Maseneta kwa nini wafanyakazi wa kaunti waliohudumu chini ya mtangulizi wake hawakupokea pesa zao miaka mitatu baadaye.Kamati ya hesabu za umma ya bunge la Seneti pia iliwasihi wasimamizi wa kaunti kuweka kipaumbele malipo ya bili zinazosubiri kulipwa ambazo zinafikia shilingi bilioni 2.6. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive