Skip to main content
Skip to main content

Maraga aibua wasiwasi kwa kukithiri kwa ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali za umma

  • | KBC Video
    173 views
    Duration: 3:02
    Aliyekuwa jaji mkuu David Maraga ametoa wito kwa vijana kuhakikisha wanapata vitambulisho vya kitaifa na kujisajili kuwa wapigaji kura ili kuwajibika uongozi wa taifa hili kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Maraga, mwaniaji wa wadhifa wa urais kupitia chama cha United Green Movement (UGM), ambaye alikuwa katika kaunti ya Mombasa, aliibua wasiwasi kwa kile alichokitaja kuwa kukithiri kwa visa vya ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali za umma , akionya kuwa, kukosa kushughulikiwa kwa changamoto hizo, kunaweza kuaathiri ustawi wa taifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive