- 19 viewsDuration: 1:27Serikali ya Kaunti ya Nyandarua imeelezea kuimarisha mpango wa kuboresha barabara katika baadhi vituo vya kiabiashara katika kaunti hiyo. Akizungumza akiwa katika ziara ya ukaguzi katika kituo cha biashara cha Gwa Kung’u, katika Wandi ya Leshau Pondo eneo mbunge la Ndaragwa, Ngavana Kiarie Badilisha alisisitiza dhamira ya uongozi wa serikari katika uboreshaji wa barabara na huduma za usafi wa mazingira .