Skip to main content
Skip to main content

Maeneo ya kaskazini kuendelea kuathirika na ukame zaidi

  • | Citizen TV
    44 views
    Duration: 2:18
    Hali ya anga inatarajiwa kubadilika kutokana na mvua ya masika inayotarajiwa kunyesha katika maeneo mbalimbali humu nchini mwaka huu. Kwa mujibu wa idara ya utabiri wa hali ya hewa, maeneo kame na maeneo mengine yaliyokosa mvua ya vuli mwaka uliopita huenda yakapata mvua ya wastani ambayo haitaweza kukabiliana na hali ya ukame inayoshuhudiwa kwa sasa.