- 146 viewsDuration: 3:57Uungano wa wasomi kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini umeiomba wizara ya elimu kufutilia mbali agizo linaositisha utoaji wa stashahada za elimu ya chekechea pekee. Agizo lililotolewa na katibu wa elimu profesa julius bitok linajumuisha mafunzo ya ecde na ya shule za msingi, hatua iliyozua wasiwasi miongoni mwa walimu na serikali za kaunti. Wizara ya elimu, hata hivyo, inasema inatekeleza mapendekezo ya jopokazi la rais kuhusu elimu, ambalo lilifutilia mbali diploma za chekechea mwaka 2023.