Skip to main content
Skip to main content

Watoto 200 wamerejeshwa shuleni huko Lonyangalani

  • | Citizen TV
    79 views
    Duration: 3:16
    Wafugaji wanaoishi katika eneo la Loyangalani kaunti ya Marsabit, na ambao wanawaoza watoto wao wa kike mapema na kutowapeleka shuleni, wameonywa vikali. Haya yanajiri huku watoto 200 wakirejeshwa shuleni kufuatia kampeni iliyoendeshwa katika eneo hilo.