Skip to main content
Skip to main content

Wafanyakazi wa shirika la masuala ya angani la Italia walioachishwa kazi Kilifi waandamana

  • | KBC Video
    56 views
    Duration: 1:45
    Wafanyakazi 14 wa shirika la masuala ya angani la Italia (ASI) katika kaunti ya Kilifi wamewasilisha kesi mahakamani wakishutumu shirika hilo kwa kuwaachisha kazi bila kuzingatia sheria. Wafanyakazi hao wanadai kuachishwa kwao kazi hakakuwa halali na kumewasababishia changamoto si haba za kiuchumi huku wakishindwa kutekeleza majukumu yao ya kifedha ikiwemo kulipa mikopo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive