Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Macalder, Migori waandamana wakilalamikia uvamizi wa wafanyabiashara

  • | KBC Video
    64 views
    Duration: 1:59
    Wakazi wa mji wa Macalder, eneo la Nyatike katika kaunti ya Migori waliandamana kwa amani kulalamikia kudorora kwa usalama. Maandamano hayo yalifuatia tukio ambapo wafanyabiashara wawili walipigwa risasi na kujeruhiwa na wezi waliojihami Jumapili iliyopita. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive