Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke mwenye umri wa makamo aaga dunia kufuatia ajali ya barabarani katika eneo la Mlango Kumi

  • | KBC Video
    91 views
    Duration: 3:49
    Mwanamke mwenye umri wa makamo aliaga dunia kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha boda boda katika eneo la Mlango Kumi kwenye barabara kuu ya kutoka Busia kuelekea Kisumu. Abiria wengine wawili walipelekwa katika hospitali ya kibinafsi huko Bulanda kaunti ya Busia, kwa matibabu ya dharura. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive