Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Laikipia kutumia pikipiki kuimarisha huduma za dharura za afya

  • | KBC Video
    63 views
    Duration: 1:52
    Kaunti ya Laikipia imezindua pikipiki za utoaji huduma za dharura kwa nia ya kutoa huduma za afya kwa kina mama na watoto wachanga hususan katika eneo la Laikipia North ambako muundo mbinu duni na umbali wa hospitali zimekuwa changamoto kubwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive