- 62 viewsDuration: 2:15Uzalishaji umeme kutoka kwa upepo nchini China uliandikisha rekodi mpya mwaka jana baada ya kupiku megawati trilioni moja. Hali hii inaiweka China kidedea ulimwenguni katika uzalishaji nishati ya upepo huku ikipiga hatua kuelekea mpito a nishati endelevu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive