- 582 viewsDuration: 5:04Rais William Ruto ameelezea mpango wa serikali wa kufufua uchumi wa taifa. Aliongea wakati wa mkutano na wawaniaji elfu 12 wa nyadhifa mbalimbali wa chama cha UDA katika ikulu ya Nairobi, rais Ruto alielezea mipango ya kulipa madeni yanayodaiwa na wakandarasi wa ujenzi wa barabara wiki hii. Rais Ruto aidha alitangaza mipango ya kuondoa matozo ya jumla ya mshahara kwa wafanyakazi wanaolipwa chini ya shilingi elfu 30 pamoja na kupunguza kiwango cha matozo hayo kwa asilimia 20 kwa wafanyakazi wanaolipwa mshahara wa chini ya shilingi elfu 50. John Jacob Kioria na taarifa kwa utendeti kutoka kwenye mkutano huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive