Wagonjwa wa saratani na familia zao wanaibua wasiwasi kuhusu kile wanachotaja kuwa ucheleweshaji wa uidhinishaji wa huduma katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta. Wagonjwa hao wanasema kukwama kwa mifumo ya huduma na foleni ndefu vinahujumu huduma muhimu za matibabu. Hata hivyo, katibu katika idara ya huduma za kimatibabu, Dkt. Ouma Oluga, amepuuza madai hayo, akigusia mageuzi aliyosema yanalenga kuboresha upatikanaji wa huduma bora za matibabu ya saratani kwa gharama nafuu. Joseph Wakhungu ana taarifa kamili.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive