Mafuta ya uso yaliyopigwa marufuku bado yauzwa

  • | Citizen TV
    1,738 views

    Baadhi ya mafuta ya uso yanayotumika nchini ni hatari kwa matumizi. Halmashauri ya ukadiriaji ubora wa bidhaa nchini kebs imepiga marufuku zaidi ya mafuta mia moja ya uso inayosema kuwa ina madhara kwa wanaotumia.