Skip to main content
Skip to main content

Wataalamu watumia teknolojia kuhifadhi lishe ya ng'ombe Kiambu

  • | Citizen TV
    125 views
    Duration: 1:41
    Wafugaji wa ngombe wa Maziwa katika Kaunti ya Kiambu sasa wanavishawishi vyama vyao vya Ushirika wa Maziwa kuimarisha na kuanzisha uhifadhi wa malisho ya kisasa ya silaji wanapokuwa na wingi kabla ya ukame kukumba nchi na maeneo yao hali inayoathiri kiwango cha uzalishaji wa maziwa.