5 Feb 2026 1:44 pm | Citizen TV 1,157 views Duration: 1:36 Baada ya kukwama ujenzi wa uwanja wa kaunti ya Mombasa kwa zaidi ya miaka kumi, serikali ya taifa sasa imechukua hatamu ya kuujenga uwanja huo utakaokuwa na hadhi ya kimataifa.