- 113 viewsDuration: 1:53Msako wa wafadhili wa ugaidi umepata msukumo mpya huku serikali ikiagiza benki na taasisi za kifedha kufunga akaunti na kusitisha mahusiano na watu 13 wanaoshukiwa kufadhili vitendo vya kigaidi. Agizo hilo linaloanza kutekelezwa mara moja ni sehemu ya juhudi za serikali za kukomesha ulanguzi wa fedha na kupiga jeki juhudi zake za kushinikiza kuondolewa kwenye orodha ya mataifa ambako ulanguzi umekithiri. Trevor Ng’endo anatufafanulia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive