- 299 viewsDuration: 2:23Rais William Ruto ameukashifu upinzani kwa madai ya kutishia kupanga maandamano ya kitaifa, akisema viongozi wa upinzani wana nia ya kuwachochea vijana kuharibu mali na kuzorotesha uchumi. Rais aliyezungumza katika kaunti ya Mombasa alionya kwamba siasa za chuki na migawanyiko zimepitwa na wakati na hazifai kupewa nafasi humu nchini. Giverson Maina anaarifu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive