Huenda ukaweza kupokea sehemu ya akiba yako ya malipo ya uzeeni katika hazina ya kitaifa ya malipo ya kustaafu-NSSF hata kabla ya kufikisha umri wa kustaafu, ikiwa pendekezo lililotolewa na hazina hiyo, litaidhinishwa. Meneja mdhamini wa hazina ya NSSF, David Koross alisema pendekezo hilo ni sehemu ya marekebisho ya kuwavutia watu wengi kuweka akiba kwenye hazina hiyo hasa vijana na wale walio katika sekta isiyo rasmi. Habari kamili ni kwenye kitengo cha kapu la biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive