Skip to main content
Skip to main content

Chama cha ODM chamtenga Oketch Salah

  • | KBC Video
    11,231 views
    Duration: 2:45
    Chama cha ODM kimemkana mwanaharakati Oketch Salah, ambaye amekuwa akifadhili vyama vya siasa kwa kutumia jina la Chama hicho bila baraka za uongozi wa chama hicho.Katika taarifa iliyotiwa saini na Mwenyekiti wa Kitaifa wa ODM Gladys Wanga, chama hicho kilijitenga na vitendo vya Salah, kikisema haviwakilishi msimamo rasmi wa chama. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive