Skip to main content
Skip to main content

Askofu Cleophas Oseso awataka wakristo kuliombea taifa la Kenya

  • | NTV Video
    415 views
    Duration: 2:18
    Askofu wa jimbo la Nakuru Cleophas Oseso amewataka waumini wa kanisa la Katoliki na wakristo kwa jumla kuombea amani ya nchi wakati kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka ujao zinatarajiwa kuanza huku akionya wanasiasa dhidi ya kuwachochea wananchi kwa misingi ya ukabila . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya