Skip to main content
Skip to main content

Agizo la Ruto la kuwapokea wanafunzi wa Gredi ya 10 lagonga mwamba Nairobi

  • | Citizen TV
    2,321 views
    Duration: 4:32
    Wiki mbili zilizopita, Rais William Ruto aliamuru wanafunzi wote wa Gredi ya 10 ambao hawakuwa wameripoti shuleni kufika shuleni mara moja, iwe hawana karo, sare za shule au mahitaji mengine. Akitoa agizo hilo, rais aliwahakikishia wazazi na wanafunzi kuwa serikali ingegaramia malipo yoyote. Hata hivyo wazazi na wanafunzi kutoka baadhi ya mitaa jijini nairobi waliofuata agizo hilo, wanaelezea kuwa walimu wakuu shuleni walidinda kuwapa nafasi, huku wakisema serikali haikutoa hela za kufadhili ahadi hiyo.