- 3,832 viewsDuration: 1:58Serikali imewaorodhesha watu kumi na watatu kama wahusika wa ugaidi na wafadhili wa shughuli hizo. Watu hao sasa wamewekewa vikwazo vya kifedha vinavyozuia benki na taasisi nyingine yenye akaunti zao kufanya shughuli zozote za kifedha nao.