Skip to main content
Skip to main content

Serikali kutekeleza Ripoti ya NADCO baada ya kesi zilizoko mahakamani kushughulikiwa

  • | KBC Video
    289 views
    Duration: 2:47
    Katibu katika wizara ya usalama wa taifa Dkt. Raymond Omollo, amesema serikali itaendelea kutekeleza mpango wa ajenda kumi ulioafikiwa na kamati ya mazungumzo ya kitaifa (NADCO) pindi tu kesi zilizo mahakamani zitakapokamilika. Alisema serikali inataangazia kuwafidia waathiriwa wa ukiukwaji wa haki za binadamu wa zamani. Omollo alisisitiza kuwa serikali ya Kenya Kwanza chini ya Rais Ruto haitatelekeza ripoti ya NADCO licha ya changamoto za kisheria, na kwamba haki kwa waathiriwa na familia zao bado ni jambo la muhimu sana. Wycliffe Oketch na taarifa kamili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive