Skip to main content
Skip to main content

Rachael Shebesh aunga rais Ruto mkono kwenye uchaguzi wa 2027

  • | NTV Video
    2,176 views
    Duration: 1:59
    Rais William Ruto anaonekana kubadilisha mkakati jijini Nairobi kuwatafuta viongozi wa zamani ili kumpigia debe anapotaka kipindi cha pili katika uchaguzi mkuu wa 2027. Aliyekuwa mwakilishi wa kike wa Nairobi Rachael Shebesh ambaye alikuwa upande wa rais mstaafu Uhuru Kenyatta sasa amevuka sakafu kuingia katika kambi ya rais Ruto. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya