Skip to main content
Skip to main content

Serikali yatenga shilingi bilioni saba kwa kaunti 15 kuhusiana na baa la njaa nchini

  • | Citizen TV
    234 views
    Duration: 1:13
    Waziri wa afya Aden Duale amewahakikishia wakenya wanaokabiliwa na baa la njaa katika kaunti 15 kuwa serikali inafanya kila jitihada ya kuokoa hali. Wakati huo huo Duale amedokeza kuwa serikali imetenga shilingi bilioni saba baada ya kupitishwa na baraza la mawaziri zitakazotumika kununua na kusambaza chakula na maji katika maeneo yanayoshuhudia hali ya ukame nchini. Aidha Duale amehimiza serikali za kaunti kuchangia katika juhudi hizo za kutoa msaada kwa waathiriwa.