Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya wafanyibiashara wakadiria hasara ya moto Kakamenga

  • | Citizen TV
    724 views
    Duration: 1:29
    Baadhi ya wafanyabiashara katika soko kuu la Kakamega wanakadiria hasara kubwa baada ya moto kuzuka na kuteketeza bidhaa zao. Moto huo unadaiwa kulipuka wakati fundi wa karakana ya kutengeneza mashini ya kukata miti yaani power saw kushika moto , na kuteketeza maduka, vibanda pamoja na gari moja. Wenyeji wakilauma idara ya zima moto ya kaunti kwa kutofika eneo hilo.