- 163 viewsDuration: 3:34Zaidi ya wanafunzi 30 katika mtaa wa Mukuru hapa Nairobi wameshindwa kuripoti katika shule za sekondari ya juu, takriban mwezi mmoja baada ya wenzao kuanza masomo. Baadhi ya wazazi wa wanafunzi hawa wa gredi ya 10 wakidai kurudishwa nyumbani licha ya Rais William Ruto kutoa amri kwa wasimamizi wa shule kutowafungia nje wanafunzi ambao hawana karo wala SarÄ™. Serfine Achieng Ouma alitembelea baadhi yao katika mtaa wa Mukuru kwa Njenga hapa Nairobi ambapo zaidi ya wanafunzi 30 bado hawajaripoti shuleni na kutuandalia taarifa ifuatayo.