Skip to main content
Skip to main content

Familia tatu zinalilia haki kwa majeraha kwa jamaa zao Nyamira

  • | Citizen TV
    1,350 views
    Duration: 2:51
    Familia tatu kutoka eneo la Morako kaunti ya Nyamira zinalilia haki baada ya jamaa zao kuripotiwa kupigwa kinyama ndani ya kituo cha polisi cha Manga Sengera na kuwaacha na majeraha mabaya hadi kwenye sehemu zao za siri. Wanaume hao ambao ni waendesha pikipiki za kukodishwa, walikamatwa kwa madai ya kutolipa ada ya pikipiki na muajiri wao.