Skip to main content
Skip to main content

Wadi ya kujifungulia kina mama kujengwa katika hospitali ya Mutithi, Kirinyaga

  • | KBC Video
    43 views
    Duration: 1:40
    Gavana wa kaunti ya Kirinyaga Anne Waiguru ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa wadi ya kujifungulia kina mama katika hospitali ya Mutithi katika juhudi za kuboresha afya ya mama na mtoto katika kaunti ndogo ya Mwea. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive