Skip to main content
Skip to main content

Ni miezi miwili sasa wakazi wakiendelea kuhangaika kwa tabu ya maji Boni

  • | Citizen TV
    401 views
    Duration: 3:37
    Kwa miezi miwili sasa, Wakaazi wa eneo la Basuba wanaoishi ndani ya msitu wa Boni kaunti ya Lamu wameendelea kuhangaika kupata maji. Wakazi wa eneo hili sasa wakilazimika kupata mitungi miwili tu ya maji kwa kila baada ya siku nne. Na kama Rahma Rashid anavyoarifu, uhaba huu umesababishwa na athari za kiangazi baada ya visima kukauka.