Skip to main content
Skip to main content

"Hatutakubaliana Mhe. @TunduALissu kuachiwa kwa masharti yoyote"

  • | BBC Swahili
    15,783 views
    Duration: 1:03
    "Hatutakubali @TunduALissu kuachiwa kwa masharti yoyote, alikamatwa kwa uongo, aachiwe bila masharti yoyote." - Makamu Mwenyekiti wa Chama Mhe. @HecheJohn Lissu amekuwa mahabusu kwa siku 307 sasa akikabiliwa na kesi ya uhaini ambapo leo ilikuwa ikisikilizwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam na kuahirishwa mpaka Februari 11. Kwa sasa, kesi ipo katika hatua ya usikilizwaji wa mashahidi wa upande wa Jamuhuri, ambapo ushahidi unatolewa kwa kina na kwa mujibu wa taratibu rasmi za kisheria. #bbcswahili #tanzania #Uongozi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw