- 406 viewsDuration: 2:37Wakenya waliojitokeza kwenye kikao cha umma kuhusu nia ya serikali kuuza asilimia 15 ya hisa zake katika kampuni ay Safaricom wamepinga mpango huo. Kikao hicho katika kaunti ya Kiambu kikishuhudia maswali mazito kuhusu malengo ya serikali kuuza hisa hizo kwa kampuni ya Vodacom.