- 14,001 viewsDuration: 3:04Mamlaka ya kudhibiti utendakazi wa polisi IPOA imeanzisha uchunguzi wa mauaji ya Sheryl Achieng aliyeuawa na polisi katika mtaa wa huruma hapo jana. Haya yamejiri huku kanda za video zinazoonyesha matukio kabla ya kifo cha Sheryl akiwemo mwathiriwa wa genge lilosababisha maafisa wa polisi kuwasaka zikiibuka.