Skip to main content
Skip to main content

Kutoka 'Hustler Nation' hadi Singapore ya Afrika ni ndoto au siasa za Kenya?

  • | BBC Swahili
    16,147 views
    Duration: 2:12
    Kwa miongo kadhaa, viongozi wa Kenya wamekuwa wakitamani kuigeuza nchi hiyo kuwa "Singapore ya Afrika." Je Kenya itaweza Kutoka 'Hustler Nation' hadi Singapore ya Afrika ? Mariam Mjahid anaelezea #bbcswahili #kenya #singapore Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw